jamani wadau wa libeneke la kaskazini habari zetu ,watu wangu eeh nilikuwa nawaambia kuna watu wanatabia ya ku copy na paste alafu kibaya zaidi watu hawaweki wametoa wapi nawaomba kuweni wa staarabu mambo hayo hayapendezi jirekebisheni sio ishu ivyo mnavyofanya ukichukuwa andika umetoa wapi bwana pamoja aendeleeni kuperuzi libeneke la kaskazini ila take care