Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT).
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT)
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa UWT Sophia
Simba na Katibu Mkuu Amina Makilagi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango
mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT).
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT)
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT
katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano
mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi
katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada kufunga mkutano
mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na wanachama wakongwe wa UWT
Ikulu ndogo Dodoma katika mchaplo aliowaandalia wajumbe wa Umoja huo
baada ya kutoka katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga
mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT.
Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakicheza segere.
Wanachama wakongwe wa UWT na CCM wakishangilia.
picha hisani ya mtaa kwa mtaa blog
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia