MBUNGE wa Jimbo la Arumeru, mashariki, Joshua Nasari
amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi ambao walichukizwa na kitendo chake cha
kuhamasisha wafuasi wa Chama chake cha Chadema, kuwashambulia wanachama wa CCM
,na kumjeruhi Katibu kata wa CCM,kata
yaUsariver,baada ya kuzuiliwa asifanye kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa
vitongoji katika mji mdogo wa Usa river kabla ya wakati .
Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Katibu wa CCm wilaya ya
Meru, LANGAEL AKYOO, amesema katika
vurugu hizo zilizotokea katika eneo hilo
la Usariver, katibu wa kata ya Kisambare wa Chama cha mapinduzi, alijeruhiwa kichwani
mdomo na mkono am,bnapo amefungua jalada
kituo kikuu cha polidsi wilayani Arumeru, nambari ,USRIVER/RB 4397 /2012
Ammesema chanzo cha tukio hilo ni mbunge huyo kuanza kupita
nyumba hadi nyumba,,na kupita kwenye vilab vya pombe za kiasili na kuewanunulia
pombe akihamasisha wananchi kukichagua
Chama chake kabla ya muda wa kampeni haujaanza ambaopo kampeni zitaabnza Oktoba
28 mwaka
Amesema mara baada ya kumuona ameanza kampeni kabla ya
wakati walimfuata na kumtaka asubiri muda ufike ndipo aanze kampeni hatua
iliyosababisha kuwaamrisha wafuasi wake ambao waklikuwa zaidi ya kumi huku wanachama wa CCM walikuwa watano kuwashambulia
wanachama wa CCM.
Katibu Akyoo, amesema kufuatia vurugu hizo wananchi
walimzxingira mbunger hyo na wafuasi wake ambapo mbunge huyo mara baada ya
kuana wananchi wamekusanyika qwakitaka kupmatia kipigo aliingias ndasni yas
gari lake na kutokomea akiogopa kipigo
kwa wananchi ambao walikerwa na kitendo hicho cha kushambulia wanachama wa CCM,
na kuamuru washambuliwe.
Amesema kampeni za uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa
katika mji mdogo wa Usariver, zitafanyika Oktoba 28 mwaka huu ambapo vyama
vyote vitaruhusiwa kufanya kampeni zao
Katibu wa kata wa Usariver, Edmund Milanzi,akizungumzia tukio hilo amersema
alishambuliwa na wafuasi wa Chaderma baada kumtaka mbunge huyo kuacha kufanya
kasmpenikabla ya wakati ghafla alishutukia akipigwa na wafuasi wa Chadema ambao
walimjeruhi kichwani, mdom, na mkono.
Amesema mara baada ya kushabuliwa aliweza kwenda kituo kikuu
cha polidsi wilayani Arumeru kilichopo kwenye mji mdogo wa Usariver na kufungua
jalada la kushabuliwa na kujeruhiwa na hivyo kuweza kwenda hospitalini kupata
matibabu