picha mbali mbali za tukio la kupigwa kwa bomu nyumbani kwa katibu wa
bakwata mkoa wa Arusha Abdul Kareem Jonjo baadhi ya vongopzi wa ulinzi
na usalama mkoa wa arusha wakionngozwa na mkuu wa mkoa wa arusha wakiwa
kwenye matukio mbali mbali nyumbani na hospitalini jijini hapa leo baada
ya tukio la kupigwa kwa bomu kwa katibu huyo nyumbani kwake eneo la
mtaa wa kanisani kata ya Sokon 1 jijini hapapicha na mdau wa libeneke la kaskazini mahmoud
Ahmad