Diwani wa kata ya daraja mbili akiwa anawashukuru wananchii wa kata ya daraja mbili kwa kumchagua
Viongozi wa chama walikuwepo pia
Diwani wa kata ya daraja mbili leo amewashukuru wananchi wa kata yake kwa kumchagua kwa kuwa kiongozi wao.
diwani huyo ameongea mengi na kuwahidii wananchi wa kata yake kuwaletea maendeleo huku akiwasihi wampe ushirikiano wia kutosha ili waweze kuleta maendeleo katika kata ya daraja mbili wakati huo huo aliyekuwa mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless Lema aliwataka wananchi wa kata ya daraja mbili kuwapa ushirikiano wa kutosha katika kufanya maendeleo huku akiwasihi wananchi hao kusamehana yote waliokoseana katika kipindi cha kampeni za udiwani wa kata hiyo