katika matokeo kamili ya uchaguzi wa udiwani wa kata ya daraja mbili chadema wameweza kushinda kwa kupata kura 2193 ,CCM Kura 1324,CUF kura 162,TLP kura 42 na NCCR mageuzi kura 22
waliojiandikisha wapo wananchi elfu kumi na sita mia mbili tisini na tano,waliopiga kura wapo 3770,zilizo halali ni kura 3743 na zilizoharibika ni 27