Katibu
wa Jumuia za Taasisi za Kiisalamu Tanznania, Sheikh Ponda Issa Ponda
akifanya mahubiri katika Msikitini wa Mtambani, Kinondoni Dar es Salaam,
alipokwenda leo baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumwachia
huru jana, yeye na wenzake 49 waliokuwa wanakabiliwa na shitaka la
uchochezi.
Askari wa Magereza akimfungua pingu Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za
Kiislamu Tanzania leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu., ambapo
leo yeye na wenzie 49 wameachiwa huru ila watatumikia kifungo cha nje
cha mwaka mmoja. PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA
Askari wakiwa kwenye msafara wa kumsindikiza Sheikh Ponda baada ya kuachiwa.
Sheikh Ponda akiswali katika Msikitini wa Mtambani, Kinondoni Dar es Salaam.
Wafuasi wa Sheik Ponda wakimshangilia alipokuwa akihutubia ndani ya Msikiti wa Mtambani.
Sheikh Ponda akiswali katika Msikitini wa Mtambani, Kinondoni Dar es Salaam.