Da' Aisha Mkassi ala nondozzzzz ya MBA kutoka chuo kikuu cha Wales


 Aisha na marafiki katika Graduation yake

 Aisha na rafiki yake esther
 Aisha na Shangazi yake pamoja na rafiki yake Kubra
 Aisha na shangazi yake baada ya kupokeacheti cha MBA
Dada Aisha akipose baada ya kupokea Master yake ya Business Administratio

 Francia Chengula Na Esther Hungu waking'aa ktk sherehe ya graduatio
Ladies in red of Reading ktk graduation party 
 MC wa sherehe Francia Chengula akitumbuiza wageni na moja ya nyimbo zake
 Maakulaji yakiandaliwa
 Marafiki na Waandaaji wa shughuli Esther na Jane
 Marafiki na wageni waalikwa
Wageni waalikwa wakifurahia
Wakinadada wa Reading ktk sherehe hiyo

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post