Idda Shizza akiwa na swaiba yake Farida Nyamsogoro wakiwa na furaha mara baada ya kuhitimu diploma ya ualimu wa sekondari |
Familia ya Idda Shizza,Pamoja na familia ya Farida Nyamsogoro wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya wanafunzi hawa kuitimu ualimu wa sekondari ngazi ya diploma katika chuo cha kigurunyembe
Mdada wa libeneke la kaskazini kati kati akiwa na walimu wapya mara baada ya kugradueti katika chuo cha ualimu wa sekondari kigurunyembe kilichopo Morogoro