Baadhi
ya Wanachama na Viongozi wa Chadema wakitizama pikipiki zilizotolewa na
makao makuu ya chama na kugawanywa na Ofisi za kanda ya kaskazini
CHADEMA iliyoko mjini Arusha ,jumla ya piki piki 7 zilikabidhiwa jana
katika majimbo ya chama hicho
Watatu
kutoka kushoto ni Mratibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini Amani Golugwa
ambaye pia ni katibu wa chama mkoa akikabidhi piki piki 7 kwa viongozi
wa chama katika majimbo nje ya Ofisi za mkoa za chama Arusha
Wapili
kutoka kushoto ni Mratibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini Amani Golugwa
ambaye pia ni katibu wa chama kimkoa akikabidhi piki piki 7 kwa viongozi
wa chama katika majimbo nje ya Ofisi za mkoa za chama Arusha.
Wapili
kutoka kushoto ni Mratibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini Amani Golugwa
ambaye pia ni katibu wa chama kimkoa akikabidhi piki piki 7 kwa viongozi
wa chama katika majimbo nje ya Ofisi za mkoa za chama Arusha. pikipiki
zilizotolewa na makao makuu ya chama na kugawanywa na Ofisi za kanda ya
kaskazini CHADEMA iliyoko mjini Arusha ,wa kwanza kushoto ni Afisa
utawala wa kanda ya kaskazini wa chama Amina Ali Saguti
Kutoka
kulia ni Mratibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini Amani Golugwa ambaye
pia ni katibu wa chama kimkoa akikabidhi piki piki mbili kwa wilaya ya
Arusha Mjini zilizopokelewa na Martin Sarungi wakwanza kushoto ambaye
ni Katibu wa CHADEMA wilaya ya Arusha.Jumla ya piki piki saba
zilikabidhiwa jana kwa viongozi wa majimbo ya chama.