Header Ads

Header ADS

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU NDG. ERNEST X. ZULU


MAREHEMU NDG. ERNEST X.  ZULU
(1957 – 2013)
Ofisi ya Bunge inapenda kutoka ratiba ya Mazishi ya mtumishi wa Bunge, ndg. Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu, aliyefariki dunia tarehe 23/05/2013 akiwa masomoni nchini Malaysia, kwa maradhi ya kichwa yaliyomsumbua kwa muda mrefu.  Ratiba hii ni kuanzaia leo tarehe 29 Mei, 2013 kama ifuatavyo:
A.
MUDA
TUKIO
MHUSIKA
29 MEI, 2013
1.
01.30 – 02.00 ASUBUHI
KUPATA KIFUNGUA KINYWA
WAFIWA NA WAGENI
2.
04.00 ASUBUHI
SAFARI YA KUELEKEA AIRPORT KWA AJILI YA MAPOKEZI YA MWILI
WATU WALIOTEULIWA/WAFIWA
3.
07.20- 7:30 MCHANA
MWILI KUWASILI UWANJA WA NDEGE
KATIBU WA BUNGE
4.
08.30 MCHANA
MWILI KUELEKEA MUHIMBILI
KATIBU WA BUNGE/WAFIWA
5.
9:30 MCHANA
MWILI KUWASILI MUHIMBILI
KATIBU WA BUNGE/WAFIWA
5.
10.00 JIONI
MWILI KUELEKEA RIVERSIDE-UBUNGO, KITUO CHA HUDUMA YA MAOMBEZI
KATIBU WA BUNGE/WAFIWA
6.
12.00 JIONI
IBADA YA MISA TAKATIFU
WOTE
7.
02.00 USIKU
MWILI KUELEKEA NYUMBANI KWA MAREHEMU UBUNGO KIBANGU NA KULALA
WAFIWA
30 MEI, 2013
1.
05:00 ASUBUHI – 6:00 MCHANA
CHAKULA
WOTE
2
06:00 – 06:05 MCHANA
WASIFU WA MAREHEMU
KATIBU WA BUNGE (MEU)
3
06:05 – 06:10 MCHANA
NENO KUTOKA KWA FAMILIA NDUGU ZULU
DANIEL LAWRANCE GAMA
4
06:10 – 06:15 MCHANA
NENO KUTOKA FAMILIA YA MKE WA REHEMU
VENANCE MLEKANI
5
06:15 – 06:25 MCHANA
NENO KUTOKA KWA KIONGOZI WA KIROHO
FATHER FELISIAN V. MKWERA
6.
06:25 – 09:30 MCHANA
KUTOA HESHIMA ZA MWISHO (NYUMBANI KWA MAREHEMU)
WOTE
7.
09:30 MCHANA
MWILI KUELEKEA UWANJA WA NDEGE
KATIBU WA BUNGE/WAFIWA
8.
10:00 JIONI
MWILI KUELEKEA SONGEA KWA NDEGE
KATIBU WA BUNGE/ FAMILIA YA MAREHEMU
9.
11:30 JIONI
KUWASILI SONGEA
WAGENI/ FAMILIA YA MAREHEMU
10.
12:00 JIONI
MWILI KUELEKEA PERAMIHO  NA KULALA
WAGENI/ FAMILIA YA MAREHEMU
31 MEI, 2013
1.
05:00 ASUBUHI – 6:00 MCHANA
CHAKULA
WOTE
2
06:00 – 8:00 MCHANA
IBADA YA MISA TAKATIFU
(NYUMBANI)
WOTE
3.
08:00 MCHANA
KUTOA HESHIMA ZA MWISHO (NYUMBANI )
WOTE
4
9:00 ALASIRI
KUELEKEA MAKABURINI
WOTE
5
9:15 ALASIRI
MAZISHI
WOTE
6
10 :45 JIONI
SALAM ZA RAMBIRAMBI
WAHUSIKA
7
11 :00 JIONI
KUREJEA NYUMBANI NA WASAFIRI KUELEKEA UWANJA WA NDEGE/KURUDI SONGEA MJINI
WAGENI/ WAFIWA/WOTE
 Imetolewa na Idara ya Habari,
Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa
Ofisi ya Bunge
DODOMA

29 Mei, 2013

No comments

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Powered by Blogger.