wanenguaji wa bendi ya akudo wakiwapa raha washabiki wao katika onyesho lao lililofanyika mushono ndani ya ukumbi mpya ambapo unyesho hili lilizaminiwa na Radio 5 the people station wakishirikiana na kampuni ya megatrade kupitia kinywaji chao cha k-vant
BENDI YA AKUDO YAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NDANI YA UKUMBI MPYA WOLD GARDEN
bywoinde
-
0