Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM,
kwenye Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoni Njombe, leo May 28, 2013.
Kinana ambaye yupo katika ziara ya siku saba, kukagua utekelezaji wa
ilani ya chama na kuzungumza na wananchi mkoani Njombe, amefuatana na
Katiobu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. (Picha na Bashir
Nkoromo)
Baadhi ya maelfu ya wananchi
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika Mei 28, 2013 katika
Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoani Njombe.