nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na
ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi
huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili.
Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha
ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje
maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi
yupo na mkewake.
KWA KUTUMA MAONI YAKO KUTOKANA NA MADA AMBAYO IMETUMWA UNAWEZA KUENDA KWENY E SEHEMU ILIANDIKWA COMENTI UKA BONYEZA APO UKAANDIKA MAONI YAKO NA KISHA UKATUMA MOJA KWA MOJA TUTAUPATA NA KWA WALE WENYEKERO ZAO NA WANATAKA WAPATE USHAURI KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI UNAWEZA KUANDIKA DUKUDUKU LAKO LIWE LA MAPENZI ,SIASA NA HATA MENGINE ILI WATU WAWEZE KUCHANGIA
UNAWEZA kutuma kwa kupitia email hii hapa
woindeshizza01@gmail .com
wote mnakaribidhwa katika mdahalo huu