Swagga za Lollipop ndani Skylight Band na hii ni kuongeza vionjo vya burudani kwa mashabiki wake


Models maalum waliondaliwa kwa ajili ya kugawa Lollipop kwa warembo na mashabiki wa Skylight Band.
It's Lollipop time....Thank you Skylight Band for Entertain us.
Warembo wakiweka pozi mbele ya camera yetu na Lollipop zao mdomoni.
Picha juu na chini warembo wakila pozi kwenye Red Carpet maalum kwa mashabiki wa Skylight Band kupata picha za ukumbusho.
Totoz wa ukweli ndani ya Skylight Band.....Balaaa.
Picha juu na chini ni Wema Sepetu aking'ara kwenye Red Carpet.
Mdau William Malecela a.k.a LEMUTUZ akiuza nyago na Wema Sepetu.
Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakitikisa jukwaa kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Mashabiki wa Skylight Band wakiwashangilia wanamuziki wa Skylight wakati wakionyesha ufundi wao katika kulisakata Sebene.
Sam Mapenzi, Sony Masamba na Joniko Flower wakijimwaga na sebene.
Aneth Kushaba AK 47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band....Pia anaomba kura zenu amechaguliwa katika Kategori ya Mwamuziki bora wa kike wa Band unaweza kumpigia kura kwa kuandika AM1 tuma kwenda namba 15345.
Mashabiki wakionekana kupagawishwa na Diva wa Skylight Band wakati wakitoa burudani Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam.
Aneth Kusaba AK 47 sambamba na Mary Lukas wakitoa burudani kwa mashabiki wao.
Sam Mapenzi akiwaimba mashabiki wa Skylight Band
Mashabiki wa Skylight Band wakiiga moja ya Style mpya ya kucheza ya Skylight Band....Ninataka Mukanda ya Chuma......X2 nipe ya Chuma chuma...Skylight Band ni Balaa sio ya kukosa Ijumaa hii.
Vijana wa Skylight Band wakiwasindikiza mashabiki wao kucheza style yao mpya.
Warembo wakichuana kwa ajili ya kujipatia zawadi kutoka Skylight Band ikiwa ni vionjo vya kuwapa raha mashabiki wao.
Fans wa Skylight Band wakiwashagilia mabinti waliokuwa wakichuana kucheza style mpya ya bendi hiyo walioyoitambilisha jijini Mwanza hivi karibuni.
Mshindi alipatikana na kukabidhiwa chupa mbili za Wine alizokabidhi Sony Masamba kama inavyoonekana pichani.
Mbali na kushindana kucheza kulikuwa na zawadi ya Best Outfit ambayo ilimwangukia Wema Sepetu. Sam Mapenzi akimkabidhi zawadi Wema Abraham Sepetu mwanadada aliyetupia kivazi cha ukweli Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village.
Wema Sepetu akipata picha ukumbusho na waimbaji wa Skylight Band.
Wema Sepetu akishitua kidogo kwa madaha kabisa kuonyesha ya kwamba na yeye anaziweza.
Wema Sepetu akishuka stejini na kidate wake kwa usiku huo.
Umati wa wakazi wa Dar wakila bata na Skylight Band inayoshika kasi jijini Dar.
Warembo na mdau wakishow love mbele ya camera yetu.
Mdau Alois Ngonyani akishow love na swahiba wake.
Wema Sepetu na Manager wake Martin Kadinda.
Wema Sepetu akishow love na Fans wake ndani ya Skylight Band. Hawa jamaa wanajua kula bata bwana.
Dr. Isack (kulia) akishow love na Mdau Alosi Ngonyani na familia yake.
Wako Single hao wadada kazi kwenu tumeni Application.....
Picha juu na chini ni umati wa Mashabiki wa Skylight Band wakicheza Kwaito.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post