Maaskofu wakiombea miili ya marehemu Regina Loning'o Laizer ,James Gabriel Kessy na patricia Assey kabla ya kuingizwa kanisani tayari kwa ibada ya mazishi iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu josephy mfanyakazi lililopo katika kata ya olasiti mjini hapa ambapo marehemu hawa ambao walifariki dunia may 5 wakati wakisali katika ibada ya uzinduzi wa kanisa ambapo mtu asiyejulikana alirusha bomu wamezikwa nje ya kanisa ilo