Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh Lazaro Nyalandu (mwenye shati jeupe)
akiwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema, na Mkuu wa mkoa wa
Arusha Maggesa Mulongo wakati wakikabidhi misaada ya kibinadamu kwa
wahanga wa bomu kwa Daktari wa hospitali ya St.Elizabeth jijini Arusha
juzi Mei 8, 2013 hospitalini hapo. Picha na Mitandao