TWASIRA YA SHOO YA AKUDO NDANI YA ARUSHA CHINI YA UTHAMINI WA TAN MEDIA COMUNICATION( RADIO 5)


 Wanenguaji wa bendi ya Akudo wakifanya vitu vyao ndani ya ukumbi wa world  garden
 warembo walikua kibao waliokuja kucheki shoo ya Akudo
 Kamafa wa Radio 5 nae alikuwepo katika shoo hiyo

 hii meza ilikuwa imetawaliwa na kinywaji cha K-vant iliongozwa na meneja wa kanda wa kinywaji hicho Godluck
 Watangazaji wa Radio 5 107:5 fm Arusha wa kwanza kulia ni Deo  G katikati mdada wa libeneke pamoja na mkaka Matungilo wakisakata rumba
 watu waliyarudi balaa yote haya ni chini ya uthamini kampuni ya Tan Media Comunication kupitia kituo chao kikubwa cha   Radio ya watu Radio 5 Arusha



 Full mzuka kampani nzima ya Radio 5 ikiongozwa na kamafa
 mwanadada Ashura Muhamedi Alikuwepo kwenye shoo iyo
 ULIkua ukiingia tu unakutana na meza iliyopendeza vinywaji vya k-vant gin

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia