Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika chumba cha mikutano baada ya
kuhudhuria kikao cha 29 cha wakuu wa nchi za NEPAD pembeni ya mkutano wa
maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addid Ababa, Ethiopia.
Marais
wastaafu waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu
ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia. Kutoka kushoto ni Dkt
Kenneth Kaunda (Zambia), Sam Nujoma (Namibia) na Mzee Festus Mogae
(Botswana).
Mama
Salma Kikwete na wake wa marais wengine wakiwa katika mkutano wa
maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addid Ababa, Ethiopia.
Wakuu
wa nchi za Umoja wa Afrika na wageni mashuhuri walioalikwa wakiwa katika
picha ya pamoja wakati wa mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU
katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia.

Wapiga
picha toka nchi mbalimbali wakiwa kazini wakati wa mkutano wa
maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addid Ababa, Ethiopia.
Wajumbe, wageni waalikwa, wanahabari na wadau mbalimbali wakijichanganya nje ya ukumbi wa mkutano wakati wa mapumziko.
Mandhari za nje na ndani ya jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki Moon akiwa meza kuu pamoja na Rais
wa AU Mama Nkosazana Dlamini Zuma na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe.
Hailemariam Desalegn na viongozi wengine wa umoja huo.
Sehemu ya ukumbi wa mikutano kwa ndani.
Viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria.
PICHA NA IKULU
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia