ENEO hili ndilo linasemekana bomu liliangukia hapa
hapa maaskofu na balozi wakiwa wanabariki chumvi kabla ya mlipuko kutokea hivi leo
wananchi wakiwa wameanguka chini huku wengine wakiwa wanakimbia mara baada ya mlipuko kutokea katika kanisa la mtakatifu joseph
maafisa polisi wakiwa wanachunguza ni bomu la aina gani limetupwa hapo