Picha juu inamuonyesha mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya
Judithi Wambura , 'Jay Dee' kushoto akiwa na mumewake ambaye pia ndiyo
meneja wake Gadna G.
Habashi nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni
wakisubili kuingia katika chumba cha mahakamani kwa ajili ya kusikiliza
kesi ya madai inayomkabili ambayo imefunguliwa na meneja wa mtafiti wa
matukio Clouds Media Group Ruge Mtahabwa pamoja na Joseph Kusaga,
ambapo kesi hiyo imehairishwa mpaka tarehe 13 Juni mwaka huu.
Kesi hiyo ipo chini ya Hakimu Athumani Nyamlani
Kesi hiyo ipo chini ya Hakimu Athumani Nyamlani
kwa hisani ya lewis mbonde blog