
Mwili
wa Marehemu Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu Ofisi ya Bunge umewasili
nchini kutoka Malaysia ambako alikuwa akisoma hadi umauti ukamkuta.
Heshima za mwisho zitatolewa leo tarehe 30 Mei, 2013 nyumbani kwake Dar
es Salaam, Ubungo-Kibangu kuanzia saa tano asubuhi

Maandalizi ya ibada ya Misa takatifu ya kumwombea marehemu

Jeneza lenye mwili wa marehemu Ernest Zulu likiwa kanisani wakati wa ibada ya kumwombea

Mke wa marehemu Zulu (aliyefunga mkono) akiwa kanisani

Watoto wa marehemu Zulu wakiomboleza kifo cha baba yao mpendwa
