Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kikiwa tayari kukabiliana na
lolote linaloweza kutokea katika viunga vya Mahakama ya Mkoa wa Iringa.
Mbunge wa Iringa mjini-Chadema mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA),
akishuka katika gari la Polisi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya
Mkoa leo akikabiliwa na tuhuma za uchochezi.
PICHA KWA HISANI YA HAKINGOWI.COM