My super dancer Kushoto Moses Iyobo Kati Rama mpauka & Emma Platnum wakiwa na Vijana wanaotengeneza Nguo za Kundi zima la WASAFII wakati wowote wa show yoyote....... |
Hatuelewi mpaka now watoboa Pua awajawasili....... |
''Kijana umejipanga leo,usitegeme viuno vitakusaidia leo stejini'' Nay akimsalimu Diamond alipowasili Maisha Club..... |
Tukiwasili Maisha Club nikiwa na Crew yangu nzima ya wasafi na Nay wa Mitego pembeni with Mkong'oto Jazz Band..... |
Hapa ndipo kwenye Uhusika zaidi....Black & White Carpets......Diamond Platnum & Nay wa Mitego.... |
Abdallah....On set Planet Bongo........ |
Hahahahahhaa Dimpoz bhana.......ACHA tu huyu jamaa asingekuwa Mwanamuziki angekuwa Comedian....... |
True Boy akizungumza nao fans wake....... wa Manzese Hammi..... |
Aaanhaaa...... Maisha Mtanielewa asa hivi au Baadae....'' Nay akiwauliza mashabiki waliofurika Ukumbini humo..... |
Hyperman H.K ndo alikuwa msema chochote on the stage kusukuma Gurudumu... |
Wasafi wakaanza kufanya Balaa lao taratibu...... |
Tuimbe wote sasa.....Maisha Lets Go...... |
Tuendeleeee ama tusiendeleeeeee............? |
Kizai zai......ni mwendo wa viuno tu stejini...... |
\ |
Si ndio Diamond na Nay wakaanza kufanya yao stejini..... |
Palikuwa Hapatoshi hapa kati....Patashika nguo kuchanika..... |
Si ndio nikajua tayari Mwana Hip Hop Nshambadilisha.....ni mwendo wa kudono donoa tu..... |
QBoy Msafiii along side with Ommy Dimpoz kwa pozi,B ckstage muda mchache baada ya Show..... |
Baada ya show.....Interview kadhaa na Lugha Kali toka Clouds tv alonng side with my Boy Ttue oy |