Mgombea udiwani kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF kata ya Themi
kwenye uchaguzi utakaoanza wiki ijayo Petro Ndarivoi akizungumza na
waandishi wa habari kwenye makao makuu ya CUF halmashauri ya jiji la
Arusha jana jioni wakati aliporudisha rasmi kadi ya ccm na kuchuwa kadi
ya CUF mbele ya mgombea udiwani kwenye kata ya ELERAI John Bayo na
mwenyekiti wa CUF wilaya ya Arusha Hamza Mustaph