Brigedia
Jenerali wa JWTZ, Paul Peter Massao akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji
wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei Makao Makuu ya Jeshi hilo.
Mazungumzo
Luteni Jenerali, Paul Mella akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vilivyotolewa na benki ya CRDB kupitia akaunti yake ya Tanzanite kwa ajili ya wapiganaji wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo.
Luteni
Jenerali, Paul Mella akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya
michezo kwa wapiganaji wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo.
Wapiganaji walioshiriki zoezi la kulinda amani nchini Darfur
Wapiganaji walioshiriki zoezi la kulinda amani nchini Dafur
Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dk Charles Kimei akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dk Charles Kimei akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa
Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi sehemu ya vifaa vya michezo
vilivyotolewa na benki hiyo kupitia akaunti yake ya Tanzanite,
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali
Samwel
Ndomba kwa ajili ya wanajeshi wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo.
Hafla
hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Jeshi Upanga jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi sehemu ya
vifaa vya michezo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),
Luteni Jenerali Samwel Ndomba kwa ajili ya wanajeshi wanaokwenda kulinda
amani nchini Kongo. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Jeshi Upanga
jijini Dar es Salaam
Mnadhimu
Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Samweli Ndomba akifafanua jambo wakati
wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo kutoka benki ya CRDB
Mnadhimu
Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Samweli Ndomba akifafanua jambo wakati
wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo kutoka benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiagana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Samweli Ndomba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiagana na Lutni
Jenerali, Paul Mella, huku Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Samweli Ndomba
akiagana na Meneja Wateja Binafsi, Farida Mbwana Hamza.
Meneja
wa Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Farida Mbwana Hamza (kulia), Meneja
Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite, Lucy Naivasha, na Meneja Mahusiano wa
Benki ya CRDB, Godwin Semunyo wakiwa na Brigedia Jenerali, Paul Peter
Massao.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na wapiganaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB, Godwin
Semunyu akimpa maelekezo Meja Erick Komba wakati wa hafla ya kukabidhi
vifaa vya michezo kwa ajili ya wanajeshi wanaokwenda kulinda amani
nchini Kongo.