Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Madaktari wakati alipotembelea Hospitali Kuu ya Mjini
Nanjing jimbo la Jiangsu Nchini China akiwa katika ziara ya kiserikali
katika kukuza uhusiano.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
(wa tatu kulia) na ujumbe wake alipozungumza na Uongozi wa Hospitali ya
Mji wa Nanjing katika jimbo la Jiangsu, wakati alipotembelea Hospitali
hiyo akiwa katika ziara ya kiserikali katika kukuza uhusiano na
mashiririkiano ya kiuchumi .
Baadhi
ya madaktari wa Drum Tower Hospital wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa na
ujumbe wake akizungumza katika kikao cha kubadilishana mawazo na uongozi
wa Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali ya jamhuri
ya Watu wa China .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kushoto)Mama mwanamwema Shein kulia na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya maendeleo Omar Yussuf
Mzee,wakianagalia picha baada ya kumalizika kikao cha pamoja na uongozi
wa Drum Tower Hospital.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiangali Picha
Mfano wa majengo ya Drum Tower Hospital ,walipokuwa wakitembelea sehemu
mbali mbali za ofisi ya Hospitali hiyo,katika ziara ya Kiserikali nchini
China,kwa mualiko wa Serikali ya jamhuri ya Watu wa Nchi hiyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakitembelea
sehemu mbali mbali za Drum Tower Hospital iliyopo katika Mji wa Nanjing
Jimbo la Jiangsu chini China,kwa ziara ya Kiserilkali,kwa mualiko wa
Seikalia ya jamhuri ya Watu wa Nchi hiyo,(kulia) Rais akiwa Prof Dr.Yi
Tao Ding, wa Chuo Kikuu cha Afya katika DrumTower Hospital .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiapata maelezo kutoka kwa Prof Zhou Chang,wakati alipotembelea
sehemu za Uchunguzi wa Afya ya binadamu kwa kutumia kompyuta maalum
katika
Drum Tower Hospital,Mjini Nanjing katika jimbo la jiangsu kwa ziara ya
kiserikali.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wake,pia na Uongozi wa Drum
Tower Hospital,baada ya kumaliza kutembelea Ofisi pamoja na Sehemu
mbali mbali za kutoa huduma ya Afya,akiwa katika ziara ya mualiko wa
Kiserikali nchini China.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Jiangsu jana alipofika katika
Mkahawa wa Chunzaige Mjini Nanjing,akiwa katika ziara ya mualiko wa
Kiserikali wa jamhuri ya Watu wa China.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
na ujumbe wake wakiwa katika mkutano wa pamoja na Gavana wa Jimbo la
Jiangsu jana alipofika katika Mkahawa wa Chunzaige Mjini Nanjing,akiwa
katika ziara ya mualiko wa Kiserikali wa jamhuri ya Watu wa China,[Picha
na Ramadhan Othman,China.]