pica ikionyesha mtoto aliepigwa na bomu ambaye jina lake halijafahamika mara moja akipandishwa kwenye gari ya kubebea wagonjwa tayari kwakupelekwa katika hopitali ya muimbili kwa matibabu
mmoja wa wagonjwa wahanga wa mabomu akipandishwa kwenye gari ya wagonjwa tayari kwakenda katika kiwanja cha ndege kwa ajili ya kupandishwa ndege kupelekwa katika hospitali ya muhimbili kwa matibabu