Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais wastaafu
Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu
Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kianana wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally
Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika makaburi ya
Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, akitia udongo kwenye kaburi wakati wa mazishi ya Mzee
Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013. Picha na Ikulu