Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya
Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe akisalimiana na Naibu Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye. Viongozi hao
walikutana juzi eneo la Bomang’ombe, wilayani Hai, kila mtu akiwa katika
ziara yake. Wakati Mbowe alikuwa anaendelea na ziara ya kuzungukia
wananchi latika vijiji mbalimbali jimboni kwake Hai, Medeye alikuwa
katika ziara yake binafsi maeneo ya jimbo hilo.