RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA AFDB LEO ARUSHA Woinde Shizza Thursday, May 31, 2012 Add Comment Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)... Read More
WAZIRI WA ZAMANI WA RWANDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA Woinde Shizza Thursday, May 31, 2012 Add Comment Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) imemtia hatiani Waziri wa zamani wa Vijana wa Rwanda, Callixte Nzabonimana k... Read More
BARA LA AFRIKA LATAKIWA KUJIPANANGA KUANDAA MIKAKATI YA KIUCHUMI Woinde Shizza Thursday, May 31, 2012 Add Comment Bara la Afrika limetakiwa kujipanga katika kuandaa mikakati ya kiuchumi na kuangalia mdororo wa kiuchumi unaoukumba ulimwengu kwa sasa lik... Read More
TRA TATAKIWA KUFUNGUA OFISI MANYARA Woinde Shizza Wednesday, May 30, 2012 Add Comment Nembo ya TRA MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) Mkoa wa Manyara imetakiwa kufungua ofisi yake Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro... Read More
TANZANIA YAPATIWA MKOPO WAZAIDI YA SHILINGI MILION 30 NA BENKI YA BADEA Woinde Shizza Wednesday, May 30, 2012 Add Comment waziri wa fedha wa Tanzania Dr,Wiliam Mgimwa akiwa mkurugenzi wa benki ya Badea Abdelaziz Khelef wakibadilishana mikataba ya mkopo mar... Read More
MISS UNIVERSITY 2012 ARUSHA IN NAURA SPRINGS HOTEL JUNE 2 Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment Read More
KIDUMU BAND KUPAMBA MISS VYUO VIKUU MKOA WA ARUSHA Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment Kidum akiwa Msechu Msanii kutoka nchini Burundi ,Jean Pierre(Kidum) kwakushirikiana na msanii wa nyimbo za kizazi kip... Read More
MKURUGENZI JIJINI MWANZA APANDISHWA KIZIMBANI ARUSHA Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment MKURUGENZI wa jiji la Mwanza,Willson Kabwe juzi alipanda kizimbani katika mahakama ya mwanzo Maromboso jijini Arusha,kutoa utetezi juu ya m... Read More
PREMIER PALACE YAFUNGULIWA RASMI ARUSHA Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment MKURUGENZI WA HOTEL, ALEX MARIWA AKIONGEA WAKATI WA UZINDUZI WAFANYABIASHARA jijini Arusha wametakiwa kuacha mash... Read More
TAMKO LA ASKOFU MKUU WA TAG, KUHUSU MATUKIO YANAYOASHIRIA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment Askofu mkuu wa TAG Dk. Barnabas Mtokambali Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoashiria uvunjifu wa ... Read More
MONDULI WACHACHAMAA NA KATIBA MPYA Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment Mwenyekiti wa UVCCM Monduli Juilus Kalanga WANANCHI wa Monduli wametakiwa kujitokeza kwenye mikutano ya kukusanya maoni ya kati... Read More
Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya hapa nchini na nje ya nchi waliouthuria mkutano wa AfDB wakiwa kila mmoja anaangaika kut... Read More
Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment viongozi mbali mbali wa jumuiya ya afrika mashariki akiwemo katibu mkuu wa jumuiya hiyo balozi charles sezibera na manaibu mawaziri wa... Read More
Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment Rais Donald Kaberuka BAJETI nyingi za Nchi za Afrika zimekuwa tegemezi kwa kutegemea wahisani na Nchi kutozikidhi bajeti hizo jamb... Read More
SEREKALIYA LIBIA YAPEWA MSAADA WA ZAIDI YA DOLA 40 Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment Serekali ya LIBERIA imepokea msaada wa mkopo wa jumla ya dola milioni 46.50 kutoka Benki ya maendeleo ya Africa AFDB ambayo inalenga k... Read More
WATAALAMU WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI WATAKIWA KUTAFUTA UMBUZI WA TATIZO LA UDUNI WA MIUNDO MBINU Woinde Shizza Tuesday, May 29, 2012 Add Comment WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewata wataalamu wa fedha, mawasiliano na uchukuzi kutafuta ufumbuzi wa tatizo la uduni wa ... Read More