ENABLIS YAFANYA MAONYESHO YA WAFANYA BIASHARA WADOGO ARUSHA
Wafanyakazi wa benki ya NMB wa kwanza kushoto ni meneja wa benki hiyo Vicki Bishubo na Afisa mikopo Andrew Sanga wakiangalia bidhaa zilizosindikwa na wafanyabiashara wadogo wa mkoani Arusha katika maonyesho ya ENABLIS yaliyofanyika katika hotel ya New Arusha jijini hapa leo
Afisa masoko mkufunzi wa ENABLIS Freddy Mumbuli akikagua bidhaa zilizoletwa katika maonyesho ya ENABLIS na wafanya biashara wadogo wa mkoani Arusha
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia