MKUTANO WA MAZINGIRA WAENDELEA ARUSHA MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA RASMI LEO

 Mkufunzi wa Redd akiwa anawaelekeza wanafunzi kazi zifanywazo na kituo hicho
 Muonekano wa baadhi ya urembo ambao upo katika maonyesho ya  mkutano wa mazingira unaofanyika katika jumba la mikutano la AICC Arusha
 Katibu wa klabu za umoja wa mataifa mkoa Kilimanjaro Angaja Fundisha akiwa anatoa elimu juu ya kazi zinazofanywa na klabu za umoja wa kimataifa ndani ya Banda la umoja wa mataifa UN lililopo kwenye mkutano wa mawaziri kutoka nchi 54 uhusuo mazingira

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia