wananchi wakiwa wamepanga foleni leo asubui Tanesco wakiwa wanasubiri kupatiwa huduma
foleni ilikuwa ndefu sana huku kila mwananchi akiwa analalamika amechelewa kupatiwa huduma wengine wakiwa wanadai kuwa walikuja tangu jana asubui hawajapatiwa huduma na wamerudi leo tena bado hawajapatiwa huduma
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia