Na hii ni story ya mporipori,Mianzini kwenye mataa anabaki ameshangaa, Sanawari kwenye mataa anabaki ameduwaa" ndio maneno ya Jambo Squad katika wimbo wao mpya wa "Mporipori" ilosukwa pande za noizmekah.com
chini ya defxtro,Ikiwa ni official release yetu sambamba na Jogoo Kichaa baada ya Mamong'oo,Tunawapa gwara fans wetu wote kwa support wanayotuonesha kuchagua tracks zetu radio na clubs zote around East Africa,Much love Kwa media zinazotupa shavu.One Love