mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini,Godbless Lema(katikati) akiwa
na wakili msomi katika kesi iliyomvua ubunge,Alute Mughai (kushoto) na
kulia kwake ni mbunge wa jimbo la Singida Mashariki ambaye pia ni wakili
katika kesi ya kupinga kuvuliwa madaraka yake ya ubunge wote wakiwa
katika msiba wa baba yake na Lissu aliyefariki hivi kaibuni jijini Dar
es salaam na kisha kuzikwa nyumbani kwao Singida.