Home BAADHI YA MATUKIO KWENYE USAHILI WA WIMBO WA DIAMOND NYUMBANI LOUNG bywoinde -Sunday, September 23, 2012 0 Diamond akiwa na majaji wenzake katika usaili wa kuwasaka watakaoshiriki katika video ya wimbo wake WASICHANA WAREMBO WAKIWA MBELE YA MAJAJI. apo sasa usipime kila mtu anaonyesha manjonjo yake majaji wakifurahia staili za kila aina Facebook Twitter