ZITTO KABWE

Mkurugenzi wa Asasi ya Haki Madini Amani Mustafa (kulia) akizungumza
jana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema) Kabwe Zitto na Mratibu wa
Asasi ya Policy Forum,Semkae Kilonzo (katikati) kwenye kongamano la
siku tatu la wadau wa madini,mafuta na gesi linalofanyika jijini Dar
es salaam na kuhusisha wadau toka mikoa ya Arusha,Manyara,Tanga
Mbeya,Iringa na Mwanza.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia