Mwenyekiti wa kamati ya usimamizi wa mitihani katika mkoa wa kilimanjaro bi ruth malisa amewataka wanafunzi waliofutiwa mtihani wa kumaliza elimu mwaka jana wapatao 147 kutoka wilyani hai kutoichezea fursa waliyopewa ya kuruhusiwa kufanya tena mitihani huo.
Amewataka wasimamizi wa mitihani hiyo wilayani hai kutambua michango wa idadi ya waliofutiwa mtihani katika mkoa wa Kilimanjaro kwa mwaka jana ilikuwa kubwa kwani mkoa wote ulikuwa na wanafunzi waliofutiwa mtihani wapatao 530.
Bi malisa ambaye pia ni katibu tawala wa mkoa msaidizi anayehusika na elimu amewataka walimu hao kuhakikisha wanazipitia na kuzielewa taratibu zote za usimamizi wa mitihani kwani dosari zozote ambazo zitajitokeza katika vyumba vya mitihani watakaowajibika ni wao Kama wasimamizi wa mitihani.
Amewakumbusha kuhakikisha madawati yote yenye maandishi na kuta yanafutwa huku ramani katika kuta zikiwa zimefunikwa na umbali kati ya dawati na dawati la mahiniwa kuwa mita moja huku mkondo mmoja wa darasa la watahiniwa lisizidi watahiniwa ishirini na tano.
Kwa upande wake mwenyekiti wa kamati ya usimamizi wa mitihani katika wilaya ya hai ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya hai melkizedeck humbe ameeleza kuwa uteuzi wa wasimamizi hao ulizingatia maadili ili kuhakikisha kuwa tatizo la udanganyifu haujitokezi tena.
Amewataka kuwa makini sana katika vyumba vya mitihani kuhakikisha hawaponzi na dosari. za kukagua vyema maeneo yao wanayosimamia mitihani.

Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia