REDD'S MISS ILALA KESHO


Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro kulia akizungumza na waandishi wa habari kuhusu fainali ya redds Miss kanda ya Ilala inayotarajia kufanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa nyumbani uliopo namnga jijini Dar Es Salaam .katikati ni Mratibu wa shindano hilo Juma Madabila na Msanii Steven Nyerere. Picha kwa hisani ya Intellectuals Communications Limited
Shughuli itafanyika uwanja wa nje, kwenye Parking za TRANIC PLAZA/ NYUMBANI LOUNGE

VIP Ticket ni Tsh.50,000/= kila meza inakaa watu 8
Siti za kawaida ni Tsh.20,000/= zitauzwa mlangoni Ommy Dimpoz atakuwepo mzee wa "Baadaye"Banana Zorro na B-BANDChege Chigunda 
Na baada ya hapo patakuwa na after Party itakayofanyika Nyumbani Lounge ndani
LADY JAY - DEE na MACHOZI BAND
Kwa kufungia usiku huo.
Karibuni

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia