WAZIRI WA AFYA AFUNGU MKUTANO WA KUJADILI MALARIA ARUSHA LEO

Jumla ya wawakilishi nchi zipatazo 13 leo hii zimeshiriki katika mkutano wa kujadili na kujua changamoto wanazokabiliana nazo katika mapambano ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Marelia katika ukanda huu wa Afrika.

Hayo yamezungumzwa hii leo na waziri wa afya Dr huseni Mwinyi wakati kifungua mkutano huo wa siku nne unaofanyika hapa jijini ambapo amesema kuwa mkutano huo ambao Tanzania ndio mwenyeji unalenga kupata njia muafaka za kupambana na Maralia.

Amesema kuwa katika mkutano huo wanakutanisha mameneja wa mipango ya Marelia nchi za afrika ya mashariki pamoja na nchi nyingine wanaohusika na harakati za kupambana na ugojwa wa Marelia lengo kuu likiwa ni kubadilishana uzoefu.

Aidha ameongezea kusema kuwa changamoto kubwa waliyonayo katika nchi za afrika ni pamoja nutegemeze kwa asiliami kubwa katika mapambano kutegeamea wafadhili kutoka nje hii kufanya mapambano haya kuwa na wasiwasi  endapo wafadhili watasitisha misaada yao.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi aliyekaa katikati,Kulia ni waziri wa zamani Dkt. Hadji Mponda na Naibu Waziri Mpya Dkt. Seif Rashid aliyekaa kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa wizara hiyo mara baada ya makabidhiano ya ofisi
Pamoja na kutegeamea wafadhili katika mapambano ya Ugojwa wa Maralia kwa asilimia kubwa waziri  huyo wa  afya ametoa rai kwa nchi za kiafrika kutenga fungu la fedha la kupambana Marelia ili kuacha utegemezi wa wafadhili

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post