Msanii Paskali linda maharufu kwa jina Batararokota rais wa Bogali wa Bademi a.k.a Sungusungu chief officer`s wiki ijayo anatarajia kuweka hewani audio ya songi la kisukuma 'irombo rise` ambayo ni songi yake ya pili ya kisukuma baada ya `kwejaga nyangisha` ambayo kwa sasa inatamba katika tv mbalimbali barani Afrika.
akizungumza na waandishi wa habari kutoka mkao makuu ya kundi la Bogali wa Bademi (BWB) Kihonda kaskazini mjini Morogoro kabla ya kuondoka kwenda Nairobi nchini Kenya msanii Batarokota alisema `songi mpya inatarajiwa kukamirika wiki mbili zijayo na imebeba jina `irombo rise` ikiwa na maana `dada yetu` na natarajia kurekodi audio katika studio ya sun light record iliyopo mjini Morogoro maeneo ya mazimbo road kihonda, chini ya producer King Malo` alisema Batarokota.
pia songi `irombo rise` ya Msanii Batarokota atashirikiana na Side Staa na songi hii ilimedhaminiwa audio na Makule Bar, Totoo Bar,Lotto Faster food,Husmo Solution na Bogali wa Bademi wadhamini wote wa Morogoro

Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia