Home DR.SLAA AFIKA KUWAPA POLE FAMILIA YA MAREHEMU MWANDOSI byWoinde Shizza -Tuesday, September 04, 2012 0 Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole.Mti huu ni kumbukumbu kwamba umetutoka kimwili lakini ungali nasi kiroho hadi tutakapoungana nawe katika makazi ya Baba wa milele Facebook Twitter