MAONYESHO YA SARAKASI YA MAMA AFRIKA YAENDELEA KURINDIMA NEW WORLD CINEMA DAR.
Trade Marketing Supervisor wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO ambao
ndio wadhamini wakuu wa maonyesho ya 'Sarakasi ya Mama Afrika'
yanayoendelea katika viwanja vya New World Cinema Bw. Gaudens Mushi
akiwakaribisha wageni waliohudhudhuria onyesho hilo. kushoto ni Afisa
Mahusiano wa TIGO
Karibuni watanzania wote muone sarakasi na utamaduni wa kitanzania
Pichani Juu na Chini ni mfululizo wa maonyesho ya sarakasi ya 'Mama Africa Circus
Picha Juu na Chini ni baadhi ya wadau walioshiriki maonyesho hayo wakifurahia










0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia