Wakati Simba ilikuwa mgeni wa JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Mtibwa Sugar ilikuwa mwenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Jamhuri, mjini Morogoro.
Mechi nyingine za ligi hiyo zilizochezwa jana ni African Lyon vs Polisi Morogoro kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Nayo Ruvu Shooting ilishuka kwenye Uwanja wake wa Mabatini, Mlandizi kuikabili Mgambo Shooting kutoka Handeni mkoani Tanga.
Tanzania Prisons ilicheza kwenye Uwanja wake wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya kuikabiri Coastal Union ya Tanga wakati Oljoro JKT imeitembelea Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza ulishuhudia mechi kati ya wenyeji Toto Africans na Azam.
Baadhi ya waamuzi wa mpira wa leo
HSANI YA BUKOBASPORTS.COM
Mashabiki.
Ubao ukionesha hakuna mbabe kati yao wawili
Askari nao walikuwepo kwa ulinzi zaidi
Mtanange ukiendelea
Kuumia ni jambo lakawaida uwanjani hapa aliumia mchezaji wa kagera Sugar

Kipa wa Kagera Sugar

Mchezaji wa Kagera sugar aliumia na kutolewa nje


Wakati wa mapumziko.



Mashabiki.
Wakati wa mapumziko.
kwa HSANI YA BUKOBASPORTS.COM
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia