YANGA YAANZA NA DROO 0-0, SIMBA YAANZA DOZI 3-0

Kikosi cha Yanga ya Dar es Salaam.
Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, leo jioni imeanza Ligi kuu ya Tanzania Bara kwa kutoka droo ya bila kufungana na Prisons ya jijini Mbeya, katika mchezo wao uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini humo.

Kikosi cha Prisons ya Mbeya.
Nayo Simba ya jijini Dar es Salaam, wao wameanza Ligi hiyo kwa kutoa dozi ya mabao 3-0 kwa timu ya African Lyon, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jioni ya leo.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia