Ticker

6/recent/ticker-posts

BENDI YA MAPACHA WATATU YANOGESHA WAKAZI WA A-TOWN

 Wanuanguaji wa mapacha watatu usipime  ni ballllllllllllllaaa wanogesha A -town
 siku iyo ya bendi ya mapacha watatu walikuwepo timu nzima au wakurungenzi maarufu hapa mjini Arusha watu hawa wametengeneza vitu mbalimbali ikiwemo kutengeneza tisheti ya chadema zikiwemo zilizoandikwa chadema  nguvu ya uma ,people power   na kwasasa wanatengeneza mashati ya kimataifa ya chama cha demokrasia na maendelo chadema yaliyopigwa chata ya M4C kwa yeyote anayeitaji anaweza kuwasaliana nao
 wanenguaji wa bendi ya mapacha watatu wakinengua kwa staili tofauti ndani ya ukumbi wa triple A


wanadada wakicheza ngoma ya mapacha watatu ndani ya ukumbi wa disco wa Triple A klabu

Post a Comment

0 Comments