timu ya wawakilishi zanzibar ikiwa na timu ya wazee klabu mara baada ya kumalizika kwa mechi |
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela aliyevaa kofia akiwa anaangalia mpira katika mchezo huo wa kirafiki
Dr mwinyi mmbunge wa jumuiaya ya Afrika mashariki akiwa anaangalia mechi hiyo
Mkuu wa mkoa mstaafu Mohamed Babu ambaye pia ni mlezi wa timu ya wazee klabu akiwa anaangalia mechi hiyo
maandalizi ya kukimbiza kuku kwa upande wa wanawake
baada ya hapo kulikuwa na pati iliyofanyika ndani ya uwanja huo huo wa general trye
Bendi nayo ilikuwepo ikitumbuiza
Baadhi ya mawaziri wa zanzibar wakiwa wanasalimia
Baada ya yote kufanyika walihitimisha na mduara
mkuu wa wilaya ya Arusha nae yumo
Timu ya wazee klabu ya jijini arusha imeweza kuibuka kidedea mara baada ya kuifunga timu ya baraza la wawakilishi zanzibar mabao 3-0 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika uwanja wa general tyre jijini hapa.
timu hiyo ambayo ilikuwa ikiongonzwa na naibu spika wa baraza la wawakilishi zanzibar Ally Ally iliweza kuonyesha kiwango kizuri cha mpira lakini timu ya wazee klabu iliweza kuonyesha umairi wake.
baraza la wawakilishi zanzibar waliweza kuanza mpira kwa kasi lakini ilipotimu dakika ya 12 ya mchezo timu hiyo ilizidiwa na kufungwa goli la kwanza kupitia kwa mchezaji Stone Julius goli ambalo liliifanya timu ya wawakilishi kupoteza kasi ya mpira gafla ,timu ya wazee klabu iliweza kutumia mapungufu hayo ya timu ya wawakiishi hali iliyopoleka timu ya wazee kuata bao la pili katika dakika ya 25 goli ambalo lilimiliki mchezo hadi kipindi cha kwanza kumalizika.
Timu ziliporudi uwanjani katika kipindi cha pili zikiwa chini ya muhamuzi merry Pantaleo zilionyesha kasi na ilipotimu kunako dakika ya 70 geli la tatu liliweza kutoboa nyavu za timu ya baraza la wawakilishi bao ambalo liliwafanya timu ya wazee klabu kuibuka kidedea cha magoli 3-0.
Katika mchezo wa kuvuta kamba timu ya wawakiishi iliweza kufanya vyema mara baada ya kuwazidi nguvu timu ya wazee klabu ya jijini hapa.
Akizungumza mara baada ya mechi hiyo yakirafiki kumalizika mwenyekiti wa baraza la wawakilish i mahamoud kamili alisema kuwa wamefurahishwa sana na mechi hiyo kwani wameweza kujenga undugu mkubwa baina yao na timu ya wazee klabu.
Alisema kuwa wao kama baraza la wawakilishi wamekuwa ndugu na timu hii ya wazee klabu kwani wamekuwa wakifanya michezo mbalimbali na timu hii hali inaosababisha kuboresha muungano wa bara na visiwani hususa ni muungano wa zanzibar na mkoa wa aruha.
Alisema kuwa wao kama baraza la wawakilishi wanahaidi kuendeleza undugu huu ulokuwepo huku akibainisha kuwa wataendelea kushirikiana katika mambbo mbaimbali.
kwa upande wake mlezi wa timu hii ya wazee klabu ambaye pia alishawai kuwa mkuu wa mkoa wa arusha mohamed babu aliipongeza timu ya wazee kwa kushinda pia aliwashukuru timu hii ya baraza la wawakilishi kwa kuwapa ushirikian wa kutosha hukuakiwasihi kuendelea kuwa na umoja ili kuweza kuendeleza muungano na undugu uliopo.

Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia