Akitembelea eneo la mabweni ya shuleni hapo
Akiwafokea wanafunzi kwa kugoma kufanya usafi sehemu ya kulia chakula
hii ni nini ukiugua maradhi hapa mtasema ni serekali kwani mkigoma ndo msifanye usafi atasehemu yakula sewezi vumilia ujinga huu eti mnajiitawasomi wapi maneno hayo aliyasema
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, anayeshughulikia Elimu, Kasimu Majaliwa
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, anayeshughulikia Elimu, Kasimu Majaliwa