Rais Kikwete akizindua Jiwe la msingi la mradi wa Ujenzi wa mabasi yaendayo haraka barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam jana. Ujenzi huo utakaoanzia 'ferry' hadi Kimara kwa kuunganisha na barabara ya Kawawa kuanzia Magomeni hadi Morocco ni wa umbali wa zaidi ya Kilometa 21.
Rais Jakaya Kikwete akikagua vifaa vya kampuni inayojenga katika mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam